“What we are doing to the forests of the world is but a mirror reflection of what we are doing to ourselves and to one another.” It's our chance to choose one of the followings
Live every day as Earth day (5min ready)
History has shown that when human beings come together to face environmental challenges, we are capable of making the planet a healthier, happier place for humans and non-humans alike.
UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA
Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ujangili hapa nchini kwa zaidi ya asilimia 50. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma. Mazungumzo hayo yalilenga kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta … Continue reading UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA
TANZANIA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII DUNIANI KUPITIA TAMASHA LA URITHI WA UTAMADUNI WA MABARA NCHINI UFARANSA( Tumia dk 5 kusoma)
Tanzania ni miongoni mwa nchi 54 za bara la Afrika zitakazoshiriki katika tamasha la ‘Urithi wa Utamaduni wa Mabara’ linalotarajiwa kufanyika nchini Ufaransa katika mji wa ‘Cherbourg-Octeville’ mwezi Julai mwaka huu. Tanzania inashiriki tamasha hilo la kihistoria kwa mara ya kwanza ambapo itapata fursa ya kutangaza utamaduni wake na vivutio vya utalii vya mambo ya … Continue reading TANZANIA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII DUNIANI KUPITIA TAMASHA LA URITHI WA UTAMADUNI WA MABARA NCHINI UFARANSA( Tumia dk 5 kusoma)
Quotes
From my perspective, I absolutely believe in a greater spiritual power, far greater than I am, from which I have derived strength in moments of sadness or fear. That's what I believe, and it was very, very strong in the forest
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO
Serikali imewataka Maafisa Wanyamapori nchini kujikita zaidi katika utoaji wa elimu kwa wananchi hususani wakulima na wafugaji wanaozunguka maeneo mbalimbali ya hifadhi nchini ili kuepusha migogoro kati ya wananchi na mamlaka za hifadhi zinazosimamia maeneo hayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga alipotembelea Pori la Akiba la Mkungunero katika … Continue reading NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO
DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI
Na, Twaha Twaibu (Afisa Mawasiliano-TAWA) Dkt.James Wakibara (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhia ya Maafisa wake akiwepo Mkurugenzi wa Huduma za Utalii na Biashara Bw. Richard Nkuwi (wan ne kutoka kushoto), Meneja wa Pori hilo Bi: Diana Chambi (wa sita kutoka kushoto)wamekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Pori la Akiba la Kijereshi, wakiongozwa … Continue reading DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI
From my perspective I absolutely believe in a…
From my perspective, I absolutely believe in a greater spiritual power, far greater than I am, from which I have derived strength in moments of sadness or fear. That's what I believe, and it was very, very strong in the forest. protect forests one day it will easy your mind.B.2nyi
You can not Get through a single day…
You can not Get through a single day without having an impact on the World around you. What you do makes a difference and you have to decide what kind of the difference you want to make.(Dr,Jane)
Defending Habitat
Overview Our planet’s incredible array of wildlife occupies an equally diverse variety of habitats, from the montane forest of mount Kilimanjaro to the Serengeti plains. When these habitats are threatened, so too are the plants and animals that call these places home. Today, we live in an age where wildlife habitat is experiencing more pressure … Continue reading Defending Habitat
