​NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO

Serikali imewataka Maafisa Wanyamapori nchini kujikita zaidi katika utoaji wa elimu kwa wananchi hususani wakulima na wafugaji wanaozunguka maeneo mbalimbali ya hifadhi nchini ili kuepusha migogoro kati ya wananchi na mamlaka za hifadhi zinazosimamia maeneo hayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga alipotembelea Pori la Akiba la Mkungunero katika … Continue reading ​NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO

​DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI

Na, Twaha Twaibu (Afisa Mawasiliano-TAWA)  Dkt.James Wakibara (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhia ya Maafisa wake akiwepo Mkurugenzi wa Huduma za Utalii na Biashara Bw. Richard Nkuwi (wan ne kutoka kushoto), Meneja wa Pori hilo Bi: Diana Chambi (wa sita kutoka kushoto)wamekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Pori la Akiba la Kijereshi, wakiongozwa … Continue reading ​DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI