​Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amezindua rasmi kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amezindua rasmi kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia kilichojengwa kwa ushirikiano kati ya wadau wa utalii na Serikali jijini Arusha leo Aprili 7, 2018. Kituo hicho cha polisi cha kidiplomasia ni maalum kwa kutoa huduma za kipolisi kwa watalii … Continue reading ​Mhe. Dk. John Pombe Magufuli amezindua rasmi kituo maalumu cha Jeshi la Polisi cha Utalii na Diplomasia