This slideshow requires JavaScript.
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri iliyofanya ya ujenzi wa jengo la makumbusho ya kisasa katika Bonde la Olduvai ya Gorge ambako ni chimbuko la historia ya Binadamu.
Kamati hiyo imesema imeridhishwa na ujenzi wa jengo hilo ambalo litawavutia watalii na wanasayansi wabobezi wa masuala ya Malikale kutembelea Makumbusho hiyo.Kamati hiyo ilibainisha kuwa Makumbusho hiyo mbali ya kutumika kuingiza pesa kupitia watalii pia inatumika kama kielelezo na utambulisho muhimu wa taifa katika kutangaza utamaduni wa Mtanzania ndani na nje ya nchi.Hayo yalisemwa jana na Kamati hiyo wakati ilipofanya ziara ya kutembelea Ngorongoro Crater na Makumbusho ya Olduvai Gorge katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo. Kemilembe Luota ameipongeza Serikali pamoja na wataalamu kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa kuhakikisha kuwa eneo la Olduvai Gorge linakuwa kivutio bora kwa ajili ya historia ya nchi na kivutio kikubwa cha Utalii duniani.
‘’ Sisi kama Kamati tunaipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kuyafanyia kazi mapendekezo yote tuliyoyatoa kwa mara ya kwanza tulipokuja kwa vile tumeona kazi nzuri imefanyika.’’Katika hatua nyingine, Mwenyekiti huyo ametoa wito kwa wananchi kutembelea makumbusho hiyo kwa vile idadi ya watalii wa ndani aliyokutana nayo sio ya kuridhisha.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amesema makumbusho hiyo inatoa ushahidi dhahiri kuwa hata wazungu, mababu zao walitoka Afrika.
Mbunge wa Mtama ambaye pia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Makumbusho hiyo hadi hapo ilipofikia imeboreshwa kwa kiwango cha hali ya juu hata hivyo ameitaka Wizara ihakikishe inaitangaza ipasavyo ili watalii wengi zaidi wazidi kutembelea.
Awali, Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Fredy Manongi amesema tangu kuzinduliwa kwa makumbusho hiyo kwa wiki moja imekuwa ikipokea zaidi ya watalii wapatao 40000 hali inayopekelea kuwa ni miongoni mwa Makumbusho inayofanya vizuri zaidi barani Afrika
B.Mbilinyi
Related
Published by Mbilinyi-Wildlife
Conservation has always been a major part of my life. Growing up I revered leaders like famous oceanographer Jacques Cousteau and conservationist Jane Goodall, and I dreamed of becoming a swayful wildlife conservationist one day. Some of my fondest memories are of exploring the Amani forests with my college's friend, learning about both the awesome power of nature the threats to its well being.
I ultimately pursued a career in wildlife management at college of African wildlife management -Mweka and my friends too become a conservationists. Together, we founded Saviours of Wildlife with our slogan that Who pays for wildlife and who benefits?.
I recognize there are many conservation organizations doing incredible work on behalf of our planet and the many species who call it home.
I wanted to create an organization that complemented and collaborated with these organizations, so we chose to focus on protecting lesser-known endangered species.
My speech
If there’s one thing we know about life on Earth, it is that all of our diverse animals, plants, soil structures and waterways are interconnected in complex ways, many of which we cannot fully understand. In order to maintain ecological balance, we need to focus on all of the puzzle pieces–and this is becoming harder to do as we lose more and more species to climate change and human activity.
Saviors of wildlife focuses on lesser-known species because they are our early-warning signals for larger issues facing the ecosystem. For example, amphibians have a tremendous impact on their environment. They are not the face of environmental conservation in the same way as elephants,rhinoceros or gorillas, but because of their size and genetic makeup, these creatures are much more sensitive to climate change.
For example, saviour of wildlife is working to save amphibians, reptiles but also supporting efforts of conserving big wildlife like Rhino, giraffe and elephants through conservation education and capacity building to wildlife practititoners.
Saviours of wildlife is also working to save the world’s most endangered marine mammals. Only about 30% are left in the wild due to them becoming entangled in gill nets set for illegal fishing activities.The marine creatures are the most endangered Species.
Our planet is facing a biodiversity crisis. Last month , I was fortunate to share comment with Jane Goodall to discuss this critical issue. She reminded the word that she spoke to me 5 years ago “don’t forget, every single one of you makes a difference every single day.”
As we sit on the brink of losing thousands of more species, throwing our future into jeopardy, I am now asking you to make smart decisions .Please join us in reversing this crisis and making our collective future more secure contact
Brighton Mbilinyi, saviours of wildlife,college of African wildlife management.
brightonfrancis91@gmail.com +255756 525739
View all posts by Mbilinyi-Wildlife