​KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KWA KUJENGA MAKUMBUSHO YA OLDUVAI GORGE

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii  imeipongeza   Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro  kwa kazi nzuri iliyofanya  ya ujenzi wa jengo la  makumbusho ya kisasa  katika Bonde la  Olduvai ya Gorge ambako ni chimbuko la historia ya  Binadamu. Kamati hiyo imesema imeridhishwa na ujenzi wa jengo hilo ambalo litawavutia watalii na … Continue reading ​KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO KWA KUJENGA MAKUMBUSHO YA OLDUVAI GORGE