Siku ya wanyamapori duniani.(world wildlife day)

Leo ni siku ya uhifadhi wa wanyamapori duniani. Siku hii huadhimishwa kila tarehe 4 ya mwezi Disemba. Mara ya kwanza iliadhimishwa mwaka 2012. Siku hii inalenga kupaza sauti juu ya umuhimu wa kuhifadhi wanyamapori wetu ambao hata vitabu vya Mungu vinatuelekeza kuwahifadhi. Leo basi kata shauri kuchukua hatua zitakazosaidia kuwahifadhi wanyamapori mfano kujieleimisha juu ya … Continue reading Siku ya wanyamapori duniani.(world wildlife day)