SHEHENA YA MENO YA TEMBO YAKAMATWA MBEZI BEACH Waziri wa Maliasli na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amesema serikali imefanikiwa kukamata jumla ya meno ya tembo 28 katika ghala moja lililopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, yenye uzito wa takribani kilo 376. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri Maghembe amesema … Continue reading Meno ya tembo yakamatwa.
