Are you aware?

Our responsibility is to make sure that , these creatures are safe and we say extinction forever.

Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba. 

Wanyama wengine ambao wana miiba ni nungunungu na ekidna. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji (Rodentia) na ekidna katika oda ya mamalia wanaotaga mayai(Monotremata), ambapo kalunguyeye ni wanyama wanaokula wadudu (oda Eulipotyphla au oda za zamani Erinaceomorpha na Insectivora).Kwa kawaida hua ninadra kuonekana.

6 thoughts on “Are you aware?

      1. Thank you very much. Where would you like me to send you a link when I post an article (twitter, Facebook, on here ?)

Leave a Reply