Jane Goodall in Tanzania 

Jumuia za wahifadhi ziliungana na TANAPA kumshukuru na kumpongeza Dr. Jane Goodall kwa kazi nzuri ya uhifadhi aliyoifanya nchini Tanzania kwa miaka 57. Akiwa msichana mdogo tu wa miaka 24 alikuja Africa na baadae Tanzania ambako amefanya utafiti na kuhifadhi Sokwe huko Gombe. Utafiti wake umeshibitisha kuwa binadamu ana uwezo kiakili kumpita sokwe kwa asilimia … Continue reading Jane Goodall in Tanzania