Jane Goodall in Tanzania 

Jumuia za wahifadhi ziliungana na TANAPA kumshukuru na kumpongeza Dr. Jane Goodall kwa kazi nzuri ya uhifadhi aliyoifanya nchini Tanzania kwa miaka 57. Akiwa msichana mdogo tu wa miaka 24 alikuja Africa na baadae Tanzania ambako amefanya utafiti na kuhifadhi Sokwe huko Gombe. Utafiti wake umeshibitisha kuwa binadamu ana uwezo kiakili kumpita sokwe kwa asilimia moja tu. 

4 thoughts on “Jane Goodall in Tanzania 

  1. I love the wildlife History of Dr Jane, I appreciate her presence in Tanzania likely at Gombe National Park..

Leave a Reply to SiaelCancel reply