Baada ya kuyapandisha hadhi mapori matano ya akiba, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amewataka wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wachangamkie fursa ya kuwekeza katika Mapori hayo.Aidha, Amesema Serikali imefuta kodi ya kuingiza magari ya watalii nchini ili kuwawezesha wananchi walio wengi kuingia katika biashara hiyo ikiwa lengo ni kuongeza … Continue reading NAIBU WAZIRI MHE. JAPHET HASUNGA AWAITA WAWEKEZAJI KWENYE HIFADHI TANO ZILIZOPANDISHWA HADHI
